FC Mezzi 4: FC Mezzi Yakutana na Messi
Daniel Zimakoff
Availability:
Ebook in EPUB format. Available for immediate download after we receive your order
Ebook in EPUB format. Available for immediate download after we receive your order
Publisher:
Saga Egmont International
Saga Egmont International
DRM:
Watermark
Watermark
Publication Year:
2019
2019
ISBN-13:
9788726254655
Description:

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

FC Mezzi inaenda Barcelona wakati wa likizo ya kiangazi. Wanaenda kuishi kwenye shule yenye bwawa, kucheza kwenye mashindano dhidi ya timu za Hispania, na kutembelea Camp Nou. Wana shauku kubwa. Hata wameweza kutimiza matamanio yao makubwa: Wakiwa wanaelekea Camp Nou wanakutana na Messi! Labda wanaweza hata kurudisha kombe nyumbani?

FC Mezzi

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana!

Jake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo.

Mfululizo huu unahusu kufurahia michezo!

Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Ebook Preview