Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Linda G
Availability:
Ebook in EPUB format. Available for immediate download after we receive your order
Ebook in EPUB format. Available for immediate download after we receive your order
Publisher:
Saga Egmont International
Saga Egmont International
DRM:
Watermark
Watermark
Publication Year:
2019
2019
ISBN-13:
9788726216554
Description:
"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo unanikimbia mwilini mwangu. Siwezi kudhibiti msukumo unaoyafanya macho yangu yamwangalie kwa juu, na ninafanya hivyo bila kusita. Macho yetu yanapokutana, mawimbi ya nguvu za umeme yananipita mwilini mwangu. Ninasahau kabisa kupumua, hadi pale ambapo mapafu yangu yanapoanza kudai pumzi ndipo ninapovuta hewa nyingi ndani."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Ebook Preview