Coopoly - Logo
Coopoly - Logo
Almasi Nyekundu - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Prévisualiser ce livre
Almasi Nyekundu - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Prix membre: 1,99$ (qu'est-ce que c'est?)
Prix régulier: 1,99$
   (Quantité: 1)
Disponibilité:
Ebook en format EPUB. Disponible pour téléchargement immédiat après la commande.
Éditeur:
Saga Egmont International
Protection:
Filigrane
Année de parution:
2019
ISBN-13: 9788726242850
Description:
"Ulimi wangu ndio ulikuwa umegusa chuchu ile nyingine wakati kupumua kwake kulionekana ni kama aliyekuwa karibu kufika kilele.

"Jiwe lina ukubwa gani?" Nikauliza.

Akasema: "Imetosha..."

Nikaingiza chuchu yake mdomoni mwangu tena. Alikuwa akitetemeka kama jani sasa, na ningeweze kufungua sindiria yake kwa urahisi. Matiti yake machanga ya kuvutia yalikuwa yamechangamka, akiwa na chuchu ngumu na zilizochomoza.

Nikamkaribia, nikainamisha kichwa kidogo na nikarudia swali langu: "Jiwe lina ukubwa gani?" "

Wakati mpelelezi wa kibinafsi anayepitia changamoto za maisha anapoulizwa kukutana na mteja mpya, mwanamke mchanga, ndani ya baa ya kutisha, alikubali. Haamini hadithi yake ya kuhuzunisha hata kidogo, lakini anavutia sana hadi anakubali kudanganya. Ni nani anayejua ikiwa mteja huyu anayevutia alikuwa na mambo mengine akilini...

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia hadithi za uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Aperçu du livre
   (Quantité: 1)