Coopoly - Logo
Coopoly - Logo
Msimu wa Joto wa Uhispania - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Preview this ebook
Msimu wa Joto wa Uhispania - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Member Price: $1.99 (what is it?)
Regular Price: $1.99
   (Quantity: 1)
Availability:
Ebook in EPUB format. Available for immediate download after we receive your order
Publisher:
Saga Egmont International
DRM:
Watermark
Publication Year:
2019
ISBN-13: 9788726216578
Description:
"Nilikuwa nimeweza kutulia kidogo, baada ya dakika tano au zaidi, alitokea mlangoni mwa chumba changu cha kulala. Akiwa hajafunga nywele zake. Ametoa miwani. na lipstiki nyekundu. Na vazi lenye lesi, lililofichua kwamba hakuwa amevaa chochote ndani na kwamba mwili wake wote ulikuwa unavutia kama tako lake nzuri nililokuwa nimeona. Kama sifa nyingine ya ziada, alikuwa ameweka tepu nyeusi juu ya chuchu zake - katika umbo la misalaba miwili."

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Ebook Preview
   (Quantity: 1)