Coopoly - Logo
Coopoly - Logo
Kijana wa Kusafisha Vidimbwi - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Preview this ebook
Kijana wa Kusafisha Vidimbwi - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Member Price: $1.99 (what is it?)
Regular Price: $1.99
   (Quantity: 1)
Availability:
Ebook in EPUB format. Available for immediate download after we receive your order
Publisher:
Saga Egmont International
DRM:
Watermark
Publication Year:
2019
ISBN-13: 9788726216523
Description:
"...kila nilipotazama nilijihisi mnyonge na mwenye kuchanganyikiwa. Kwa kutii amri fulani ya msukomo wa damu, nilivua rinda na kulitupa sakafuni. Chupi zangu zilikuwa zimeloa kwa jasho na hamu. Nilizisukuma chini na zikaishia kuwa kama mrundiko karibu na rinda langu lililokuwa sakafuni. Glasi ya kioo cha dirisha iilikuwa baridi sana iliponigusa matiti yangu yaliyokuwa uchi na tezi zikawa zinanipanda katika maeneo ya ndani kabisa ya mwili wangu. Mawazo yangu yote yalikuwa yakiuzunguka mwili wa kijana huyu, miondoko yake yenye tajriba na misuli yenye nguvu."

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Ebook Preview
   (Quantity: 1)